Zanzibar Civil Status Registration Agency (ZCSRA)
Chagua ombi / Choose an application
Usajili wa Nje ya Wakati wa Kuzaliwa / Late Registration of Birth

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la cheti cha kuzaliwa kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yako ya Cheti.

Usajili wa Nje ya Wakati wa Kifo / Late Registration of Death

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la cheti cha kifo kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yako ya cheti.

Usajili wa Nje ya Wakati wa Ndoa / Late Registration of Marriage

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la cheti cha ndoa kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yako ya cheti.

Usajili wa Nje ya Wakati wa Talaka / Late Registration of Divorce

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la cheti cha Talaka kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yako ya cheti.

Usajili wa Kuasili / Adoption Registration

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la cheti cha Kuasili kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yako ya cheti.

Usajili wa Cheti cha Kutokua na Pingamizi ya ndoa / Registration of No Impediment to Marriage

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la cheti cha Kutokua na Pingamizi ya Ndoa kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yako ya cheti.

Sahisho la maelezo / Detail Update

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Matukio ya Kijamii ikiwemo Usajili wa Kuzaliwa, Ndoa, Talaka, Kuasili na Kifo kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu husika, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa ombi lako na kupatiwa cheti.

Usajili wa Rufaa / Appeal Application

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kukata rufaa kwa kukataliwa ombi au kufutwa kwa cheti. Baada ya kujaza fomu husika, tafadhali fika katika Ofisi ya Usajili iliyo karibu nawe ukiwa na namba ya kumbukumbu pamoja na vielelezo vyengine.