Zanzibar Civil Status Registration Agency (ZCSRA)
Death Registration
Usajili wa Nje ya Wakati wa Kifo / Late Registration of Death

Kwa muombaji anaeanza kujaza fomu ya ombi jipya la cheti cha kifo kwa njia ya kielektroniki kwa mara ya kwanza. Bonyeza hapo chini kuanza ombi jipya. Kwa muombaji ambae alijaza fomu ya ombi la cheti cha kifo kwa njia ya kielektroniki na kufikia hatua ya kupatiwa namba ya ombi. Weka namba hiyo katika boksi ili kuendeleza ombi na kupakua fomu ya maombi

Pakuwa fomu yako / Download your form