Zanzibar Civil Status Registration Agency (ZCSRA)
choose certification module
Cheti cha kuzaliwa / Birth Certificate

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kuthibitisha cheti chako. Baada ya kujaza fomu husika, tafadhali fika katika Ofisi ya Usajili iliyo karibu nawe ukiwa na namba ya kumbukumbu pamoja na vielelezo vyengine.

Cheti cha kifo / Death Certificate