Zanzibar Civil Status Registration Agency (ZCSRA)
choose the detail update
Usajili wa kuzaliwa / Birth Registration

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Kuzaliwa kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu husika, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa ombi lako na kupatiwa cheti.

Usajili wa kifo / Death Registration

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Kifo kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu husika, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa ombi lako na kupatiwa cheti.

Usajili wa Ndoa/ Marriage Registration

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Ndoa kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu husika, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa ombi lako na kupatiwa cheti.

Usajili wa Talaka/ Divorce Registration

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Talaka kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu husika, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa ombi lako na kupatiwa cheti.

Usajili wa kuasili/ Adoption Registration

Huduma hii inakuwezesha kujaza Fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Kuasili kwa njia ya Kielektroniki ukiwa mahala popote. Baada ya kujaza fomu husika, utatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vyengine katika Ofisi ya Usajili wa Wakala wa Matukio ya Kijamii iliyopo karibu nawe kwa ajili ya kushughulikiwa ombi lako na kupatiwa cheti.