Zanzibar Civil Status Registration Agency (ZCSRA)
birth Registration
Usajili wa Nje ya Wakati wa Kuzaliwa / Late Registration of Birth

Kwa muombaji anaeanza kujaza fomu ya ombi jipya la cheti cha kuzaliwa kwa njia ya kielektroniki kwa mara ya kwanza. Bonyeza hapo chini kuanza ombi jipya.

Kwa muombaji ambae alijaza fomu ya maombi ya cheti cha kuzaliwa kwa njia ya kielektroniki na kufikia hatua ya kupatiwa namba ya ombi. Weka namba hiyo katika boksi ili kuendeleza ombi na kupakua fomu ya maombi

Pakuwa fomu yako / Download your form