Kwa muombaji anaeanza kujaza fomu ya ombi jipya la kurekebisha taarifa za usajili wa Talaka kwa njia ya kielektroniki kwa mara ya kwanza. Bonyeza hapo chini kuanza ombi jipya. Kwa muombaji ambae alijaza fomu ya ombi la kurekebisha taarifa za usajili wa Talaka kwa njia ya kielektroniki na kufikia hatua ya kupatiwa namba ya ombi. Weka namba hiyo katika boksi ili kuendeleza ombi na kupakua fomu ya maombi.